Posted by Williammalecela.com on Thursday, July 30, 2015
Mara baada ya Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mStaafu Mh Edward
Lowassa Kuhamia Chadema Kutokea CCM Watu Mbalimbali wametoa Maoni
Mbalimbali kuhusu tukio hilo.Hali ni Tofauti kwa Makada wa Vyama
hivi.Hii
Kauli nzito Aliyoitoa Mbunge wa Bumbuli na Aliyekuwa Mtangaza
nia kugombea Urais Tanzania Mh January Makamba.
0 comments:
Post a Comment