CHUMBA cha mtoto wa mastaa Aunt Ezekiel na Moses Iyobo aitwaye Cookie
usipime, kwani kimenakshiwa kwa gharama inayofikia shilingi milioni
saba, ambazo zimetumika kwa kuwekewa vifaa maalum.
“Gharama
kubwa iliyotumika ni kumtenge nezea vifaa maalumu kama bafu na kitanda
pamoja na vitu vingine vya watoto vitakavyomfanya mtoto wetu ajisikie
vizuri muda wote,” alisema Aunt Ezekiel, staa wa filamu Bongo.Staa huyo alisema yeye na mzazi mwenzake hawaoni shida kuingia gharama kwa ajili ya mtoto wao kwani anawapa faraja hivyo watatumia nguvu nyingi na kujituma kuhakikisha mambo yote juu yake yanakwenda vizuri.
0 comments:
Post a Comment