Sunday, July 26, 2015

Nchini Kenya watoto sita waliozaliwa siku ya kuamkia jumamosi apewa jina la rais wa Marekani Obama.Rais Obama yupo toka siku ya ijumaa nchini humo kwa ziara ya siku nne.

0 comments:

Post a Comment