#TAHADHARI! Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Jeshi la Polisi, Tanzania Human Rights Defenders, Tawla, Wlac, Legal Human Right Center, Wildaf, Tume ya Haki za Binadam, Tamwa, Tgnp, Wananzania wote wapenda Maendeleo ya Halali, msaidieni huyu Mwanaharakati aliyethubutu Kujitosa mithili ya Swala katikati ya msitu ulojaa Simba wenye njaa, Mpiganaji wa kweli aliyejaaliwa Kipawa cha kusema bila kumumunya, ambae amejitokeza kupigania Friday, July 17, 2015
Posted by Williammalecela.com on Friday, July 17, 2015
5 comments
#TAHADHARI! Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Jeshi la Polisi, Tanzania Human Rights Defenders, Tawla, Wlac, Legal Human Right Center, Wildaf, Tume ya Haki za Binadam, Tamwa, Tgnp, Wananzania wote wapenda Maendeleo ya Halali, msaidieni huyu Mwanaharakati aliyethubutu Kujitosa mithili ya Swala katikati ya msitu ulojaa Simba wenye njaa, Mpiganaji wa kweli aliyejaaliwa Kipawa cha kusema bila kumumunya, ambae amejitokeza kupigania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Cyberbully ni serious issue sio issue ya kufanyia mzaha na Mange ni mfano hai wa cyberbully sielewi kwa nini Joyce Kiria anageuza kesi na kumfanya ni shujaa wa kupambana na madawa ya kulevya msilifumbie macho swala la ubully wa kwenye social media limekua ni tatizo liloota mizizi kwenye nchi yetu nzuri ya Tanzania vyombo vya sheria tunaomba mumpatie adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine wanaoathiri wananchi wenzao kisaikolojia, mungu ibariki Tanzania
ReplyDeleteMungu ashukuriwe kwa kukamatwa kwa dada huyu Mange Kimambi alikua amevuka mipaka na kuzidi ya kutukana wananchi, alijiona kama yuko juu juu ya sheria ya nchi yoyote, freedom of speach ipo lakini huyu mwenzetu anavyoandika kwenye kurasa zake za social media ni unyanyasaji wa binadamu uliokithiri, nawapongeza jeshi la polisi kwa kumchukulia hatua kali
ReplyDeleteSwali langu kwa sisi tuliotukanwa mitandaoni na Mange Kimambi tunawasilisha wapi ushahidi wetu? mimi aliniandama binafsi na familia yangu yote, mungu saidia nilihifadhi na niliprint na kuzihifadhi maandiko yake yote aliyonitukana nayo kupitia ile blog yake maarufu,sasa nauliza niwasilishe wapi ili na mimi nijiunge katika hii kesi ya kukomesha unyanyasaji katika mitandao? niko tayari kufika mahakamani na kutoa ushahidi dhidi yake na kumuonyesha muheshimiwa hakimu vielelezo vyangu vya ushahidi, majibu tafadhali
ReplyDeletenimecheka eti mnamwita mange shujaa wa kupambana na madawa hayo madawa mnao ushahidi? kama unahisi mtu anauza unga kwa nini usiripoti kwenye vyombo husika wamchukulie hatua husika? acheni zenu hizo wewe Joyce Kiria unatafuta kusikika tu ukweli unaujua wewe mwenyewe ulishatukanwa sana tu na mange mpaka ukamblock acha unafiki simama penye ukweli madawa yameingiaje kwenye hii kesi? msivuruge maneno muacheni aadhibiwe kwa makosa aliyotenda
ReplyDeletekomesha yake ni kuripoti ubalozi wa marekani watamvua greencard yake hata kama umeolewa na mmarekani, pelekeni copy ya kesi ubalozini
ReplyDelete