Mbona Kajala ni mzuri zaidi ya mara 10 kwa Wema? Yaani nashindwa hata kuelewa, umiss TZ alishinda kwa vigezo vipi jamani? Tuongee ule ukweli bila ushabiki, Wema ana uzuri gani kumshinda ama kuwashinda kina Lulu, Batuli, Kajala, Aunt Ezekiel, Shilole, Jacky Wa Chuz, na wengineo wengi tu? Huyu scandals ndizo zinozomuweka juu kwani hata kuact she's not even a gooa actress. Tuongee ukweli jamani.

ReplyDelete