Kampuni moja nchini China imewataka wanawake wanaofanya kazi kwenye kampuni hiyo kuwa na ruhusa maalum na kibali ili kubeba ujauzito.Mfanyakazi anayeruhusiwa kushika mimba vigezo awe amefanya kazi mwaka mmoja na kuendelea.Huu ni unyanyasaji wa kijinsia na kuingilia haki ya uhuru wa mtu na ndoa.Mashirika makubwa yamepinga vikali sheria hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment