Posted by Williammalecela.com on Tuesday, July 21, 2015
2015
ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, kila siku stori za Siasa zimekuwa
kwenye headlines nyingi kuanzia Magazetini, kwenye TV, Radio na hata
mitandaoni.
Mbunge James Lembeli alikuwa pia ni Mwenyekiti wa Kamati
ya Bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili.. kuna stori za baadhi ya
Wabunge wametangazwa kuhama Vyama vyao, Lembeli kathibitisha kuhama CCM
kwa maneno yake mwenyewe.
0 comments:
Post a Comment