Mwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian.
New York Marekani
Mashabiki
wa Kim Kardashian, wameshangaa kitendo cha yeye kutoka nyumbani bila
kuvaa Bra na kudai kuwa ni kumuaibisha mume wake kwani hii si mara ya
kwanza.
“Kivazi
hiki kimekuwa kikiwatega watu kwani sehemu kubwa ya kifua chake kiko
wazi, si vizuri kwa mama mwenye mtoto kuvaa nguo kama hii, kweli
anamhaibisha mumewe”, alisema Shabiki mmoja
0 comments:
Post a Comment