The
fact that Dr. Wilbord Slaa, John Mnyika and Tundu Lissu did not show up
on yesterday Lowassa-Ukawa press conference is very crucial… I mean
there must be something going on behind the curtains, let’s just wait
and see!
KUMEKUCHA: Siasa ni tamuu! Nasikia Dr Wilbroad Slaa amekataa katakata kukubaliana na maamuzi ya kumleta Lowassa Sijui ni kweli Au?!
Anasema bora akae bila Chama kuliko kukaa chama kimoja na Lowassa. Na inaonesha anaungwa Mkono na Lissu, Mnyika na wengine wengi. Utakuwa mchezo wa kupishana huyu anatoka huyo anaingia! Ngoja tusubirie tuone mwisho wake:

0 comments:
Post a Comment