Cynthia Maximillian ambaye alikuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Clouds Media Group anayedaiwa kutiwa mbaloni kwa utapeli.
MREMBO
aliyetajwa kwa jina la Cynthia Maximillian ambaye alikuwa mfanyakazi wa
Kampuni ya Clouds Media Group amejikuta akitiwa mbaroni kwa madai ya
kutapeli mamilioni ya shilingi ya wafanyakazi wenzake na marafiki
aliosoma nao.
Taarifa zilizotua kwenye gazeti hili zinadai kuwa,
Cynthia alitiwa rumande katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar
Julai 13, mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment