Tuesday, July 14, 2015

Kwa Mtazamo wangu Lowassa amefanya kosa kubwa sana kutowekeza Mtaji wake kwa Wakataji wa Majina ndani ya CCM , Lowassa Aliwekeza sana kwa Watu wa Nje na mashabiki wake kiasi chakupendwa kila kona na kusahau kuwa Wakataji wa Majina si Hao Wananchi wanaomshangilia kwa nguvu huko nje kila anapopita.  


0 comments:

Post a Comment