Komando wa kike kwenye muziki wa kizazi kipya Lady J Dee ambaye kwa sasa yupo matembezini nchini Hongkong,Amekuwa akishobokewa na raia wa mji huo kupiganae picha japo hawamfahamu.Mashabiki hao wamekuwa wakifurahia picha hizo na kuweka mapozi ya mwaka arobaini na saba.
0 comments:
Post a Comment