Anna Claire Shija amechukua fomu ya ubunge jimboni Sengerema kuwakata kiu ya maendeleo wananchi wa jimbo hilo kwa miaka mingi pasipo kuyaona.Mwanamke jasiri aliyejitosa kushindanishwa kwa kura za wananchi pasipo kuteuliwa viti maalum.Mafuriko yaja hakuna wakuzuia.
0 comments:
Post a Comment