Neno ''KUKATWA'' nikati ya misamiati michungu kwa wanachama wa chama cha mapinduzi.Hivi punde kuna sitofahamu inayoendelea mkoani Dodoma kwa watangazania wote 40 kwa nafasi ya urais juu ya hukumu ya kamati ya maadili.Kila mwanasiasa ndoto yake nikufika cheo cha mwisho juu cha urais ndoto hizi kwa baadhi ya wagombea zitazimwa na neno kukatwa jina.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment