Wakati akitangaza Kujiunga na Chama cha Chedema leo hii mmoja wa waandishi ameuliza swali kwanini yupo karibu sana na matajiri ..Lowassa amejibu swali hilo kwa kusema kuwa anachukia sana umaskini ndio maana yupo karibu nao na nia yake ni kufanya watanzania wote wawe matajiri kama kina Mengi na BhakresaWednesday, July 29, 2015
Wakati akitangaza Kujiunga na Chama cha Chedema leo hii mmoja wa waandishi ameuliza swali kwanini yupo karibu sana na matajiri ..Lowassa amejibu swali hilo kwa kusema kuwa anachukia sana umaskini ndio maana yupo karibu nao na nia yake ni kufanya watanzania wote wawe matajiri kama kina Mengi na Bhakresa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment