Saturday, July 4, 2015

Dj Ommy Crazy wa East Afrika Radio na Tv ameibiwa gari lake usiku wa kuamkia leo mitaa ya Sinza kwa Remmy.Ameomba wasamalia wema kutoa taarifa polisi au kwake watakapoliona.Hii ni mara ya pili kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo kuibiwa magari baada ya mtangazaji T Bway kuibiwa gari aina ya Alteza na kulipata.

0 comments:

Post a Comment