1.Siasa za makundi ni siasa za maslahi. Siasa zinazolenga kutatua changamoto za Taifa hazina kundi bali humgusa kila mwenye nia njema na nchi.
2.Tumepanua sana uhuru wa vyombo vya habari, lipo ongezeko kubwa la magazeti, radio, televisheni, n.k. Hakuna media censorship nchini
3.Utegemezi wetu wa misaada toka nje kuanzia 2005 hadi sasa umepungua toka 42% mpaka 8% kutokana na kusimamia vyema ukusanyaji mapato
4.Tumeboresha uwezo wa mahakama kutoa haki kwa wakati. Majaji wa Mahakama ya Rufani sasa ni 16 kutoka 8. Majaji wanawake 37 kutoka
5.Demokrasia imeimarika kipindi changu.

0 comments:
Post a Comment