Saturday, July 11, 2015

Nawashukuru wote mliotuunga mkono. Mlitupa nguvu. Nawashukuru pia mliotupinga na kutukosoa. Mlitusaidia kujitazama na kujirekebisha

Matokeo rasmi ya wana-CCM watatu watakaondelea na mchakato yatatolewa punde. Hatumo. Lakini nina fahari kubwa na kampeni yetu na timu yetu.

Hatujapoteza uchaguzi kwasababu mimi na vijana niliokuwa tumejifunza mengi na tumejenga undugu. Tumepambana na matakwa ya Mungu yametimia.

0 comments:

Post a Comment