Friday, July 31, 2015


Ester Bulaya Dogo inaonekana umeumia mi niliama kabla sijasubiri kura ya maoni, pole sana watu kama wewe mnanifurahisha sana kwakuwa najua nini kinakusumbua, subili uone dogo

Ester Bulaya Hukunipenda ulipenda CCM, wanaonipenda wataendelea kunipenda

0 comments:

Post a Comment