Thursday, July 9, 2015

"Bunge linavunjwa leo
 

Leo asubuhi Nimekamilisha kazi yangu ya ubunge 2010-2015 kwa kumkabidhi gari kwa ajili ya timu ya majimaji makamu mwenyekiti wa Majimaji John John Nchimbi. Namshukuru rafiki Yangu Paul Hinks kwa kufanikisha kupatikana kwa gari hili."

0 comments:

Post a Comment