Leo meya wa manispaa ya ilala Mhe.Jerry Silaa ameonyesha kufurahi hadi kushindwa kujizuia ambapo amelazimika kukatiza ziara zake zinazoendelea za kukagua uhai wa chama ndani ya jimbo la ukonga ambapo pia ni mmoja wa makada wa chama ch mapinduzi CCM wanaoomba kuteuliwa na CCM kupeperusha bendera ya chama hicho katika jimbo la ukonga katika uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika tarehe 25/10/2015.....Hii ndiyo kauli ya Meya Silaa baada ya kuonekana amekatisha ziara yake ghala jambo lilizua taharuki kubwa,lakini baada ya kutafutwa na vyombo vya Habari na wananchi waliokuwa wanmsubiri katika vikao iligundulika kuwa baada ya meya Silaa kuona wageni waliofanikisha ujenzi huo ambao yeye ndiye aliyeuanza tangu mwanzo ikiwa ni pamoja na kuomba wafadhili hao toka Korea kupitia shirika la misaada la Korea KOICA ilibidi aache kila kitu na kuwafuata haraka......
Nimekatisha Ziara ya Kampeni kuhudhuria tukio la kihistoria la Kukabidhiwa MNCH Capacity Building Manual ya Hospital ya Mama na Mtoto ya Chanika... Zao la Jitihada zangu za kumuunga mkono Mhe.Dk.Jakaya Kikwete kupunguza vifo vya uzazi na Kutimiza Malengo ya Millenia.
Leo nimeamini,"Dreams can come true"
Waiteni wamama na wababa wanaojali wamama...
Gonga "LIKE" kwa mama na mtoto....
Je wewe kiongozi uliyekuwa na nafasi kipindi kilichopita,umewafanyia nini wananchi wako kama anavyofanya Meya Silaa??

0 comments:
Post a Comment