Saturday, July 11, 2015

Mgombea Edward Lowasa aleta tafrani kwenye mkutano wa halmashauri kuu baada ya makada kumshangilia kwa hali ya juu.Rais Kikwete wakati anaingia akaunganisha kupiga makofi huku wakiimba Lowasa Lowasa hoooya hooya.Hakika ni kiza kinene ndani ya CCM na Dodoma huku watu nje  ya ukumbi eneo la Nyerere squre wananchi wakiima jina la mgombea huyo.Chanzo Azam tv.

0 comments:

Post a Comment