Mgombea pedwa wa urais Edward Ngoyai Lowasa amemsifia mke Regina Lowasa wake kama mtu pekee aliye karibu muda wote kumsaidia shughuli zake za kisiasa bila kuchoka.''Amekuwa mtu pekee mwenye kunitia moyo na kunishauri mengi juu ya siasa''.Baada ya waziri mkuu huyo kujiuzuru mke wake aliandika kitabu kumsafisha mgombea huyo juu ya masakata ya upotevu wa fedha za umma.
Tuesday, July 7, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment