Saturday, July 4, 2015

Matunzo anayopewa huyu miss Jackline Mengi hakuna mwanamke asiye yatamani.Shopping nchi mbalimbali za ughaibuni Dubai mixer South Afika , Matunzo yakila aina kapata mtunzaji hata makazi yake sio bongo.Ukiona maisha ya watoto wake mapacha ni zaidi ya maisha bora tulioahidiwa watanzania. 

0 comments:

Post a Comment