KIWANGO!
Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia staa mkubwa duniani, Shaffer Chimere
Smith ‘Ne-yo’ kuukubali uwezo wa kimuziki alionao kijana kutoka Tandale,
Dar es Salaam, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda
linakupa mchapo kamili.
Kabla
ya Mmarekani huyo aliyewahi kutamba na Wimbo wa Miss Independent
kuukubali uwezo wa Diamond, mastaa mbalimbali wa Afrika wakiwamo David
Adedeji Adeleke ‘Davido’ na P-Square (Peter na Paul Okoye) wa Nigeria,
kwa nyakati tofauti waliwahi kuripotiwa kwenye vyombo vya habari
wakiguswa na uwezo wake na kuamua kufanya naye kolabo. BOFYA KUSOMA YOTE
0 comments:
Post a Comment