MSANII
wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan ‘Jack
wa Maisha Plus’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvaa kigauni
ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi sehemu zake za mwili.

Jack akiwa kaacha nje nyeti zake (sehemu iliyozibwa).
Tukio hilo lilinaswa na mwandishi wetu ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro, Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa Shindano la Kigori wa Tanzania ambapo Jack alikuwa ameongozana na rafiki yake, jina lake halikufahamika.

0 comments:
Post a Comment