Sunday, July 12, 2015

Mabadiliko ya gemu la muziki yamefanya baadhi ya wasanii kubadili fani ili waweze kuishi,Mmoja wa wasanii aliyefulia kwenye mziki nakubadili fani ni huyu H baba ambaye amejiunga timu ya Toto Afrika ya jijini Mwanza kuchezea ligi kuu msimu huu.Hakika mziki unalipa kwa wachache nakufanya baadhi kukimbia tasnia hiyo.

0 comments:

Post a Comment