Madee Ali msanii kutoka kundi la Tiptop linalojua fitna ya muziki na kufanya wasanii wake kupiga show kila weekend na kuingiza mpunga mrefu zaidi.Pesa hizo za show zimempa jeuri ya kununua mkoko mpya wa maana.Mafanikio hayo yameanza kuja baada ya kubadili aina ya muziki wa hiphop na kuanza mziki wa kuimba ambapo nyimbo ya kwanza kuimba nani kamwaga pombe yangu ilimuingizia zaidi ya milioni mia,Nyumba na magari nisehemu kubwa ya muziki wake unavyomlipa.
Wednesday, July 1, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment