Mrembo
na mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa kwa
sasa yupo tayari kuigiza nusu utupu kwa sinema za nje ya nchi. Akipiga
stori mbili-tatu na kona hii, Batuli alisema kuwa muvi nyingi Bongo
huwa zinafungiwa kwa kukosa
maadili na kwamba kama ikitokea nafasi akaitwa nje ya nchi kuigiza sini hizo, atakuwa tayari.
maadili na kwamba kama ikitokea nafasi akaitwa nje ya nchi kuigiza sini hizo, atakuwa tayari.
“Zamani
nilikuwa nikiogopa kuigiza nusu utupWenzetu Nigeria wameendelea na
ndiyo maana wanaigiza hata nusu utupu, kama itatokea nafasi ya kuigiza
huko (nje ya Bongo) nusu utupu, nipo tayari,” alisema Batuli.
0 comments:
Post a Comment