Mwanadada Nisher kutoka bongo movies ameweka wazi mipango yake ya kufanya filamu pamoja na muigizaji mkongwe kutoka nchini China Jack Chain.Msanii huyo ambaye kwa sasa amejiingiza kucheza filamu za vichekesho zenye mahadhi ya filamu za Jack Chain.Uwezo wake wa kuchekesha umeanza kukua baada ya kuungana na mchekeshaji wa kike Asha Boko kila la kheri Nisher kwa kwenda kimataifa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment