Neno ''Amekatwa'' limekuwa neno la kushitua na kuleta sintofahamu nchini kuelekea mchakato wa kumteua mgombea wa tiketi ya chama tawala.Makundi ya kambi za wagombea zimekuwa zikihishi kwa hofu na kujiandaa kulipokea neno hilo lenye umaarufu kuliko ufisadi na kuchakachuwa.
0 comments:
Post a Comment