Posted by Williammalecela.com on Thursday, July 23, 2015
Rais wa nchi ya Gabon Ali Bongo Odimba amemwendesha star wa mpira Lionel Messi alipowasili nchini humo kuzindua uwanja wa Port-Gentil stadium utakao tumika kwenye michuano ya kimataifa ya bara la Afrika mwaka 2017.
0 comments:
Post a Comment