Kingunge Ngombarumwiru mwanachama wa CCM kwa kadi namba 8 ya uwanachama amefunguka ya moyoni kwa kumkingia kifua mgombea Edward Lowasa aliyekatwa kwenye kinyang'anyiro cha nafasi ya mgombea urais kwa tiketi ya CCM.Ametoa rai kufanyika kwa maridhiano ndani ya chama ili kurudisha nguvu ya mgombea huyo aweze kushirikiana na mteuliwa Magufuli.
Thursday, July 16, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment