Posted by Williammalecela.com on Monday, July 20, 2015
Wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakilaani utumiaji wa ndege ya shirika la uma kwa matumizi binafsi ya ziara za mgombea urais wa CCM.Nape Nnauye amewajibu CCM ina fedha ya kutosha kukodi ndege hiyo na walishalipia kila kitu.
0 comments:
Post a Comment