Sunday, July 5, 2015


Nay wa Mitego amepiga biti zito kwa yeyote atakayetaka kumchukua mwanaye mdogo Curtis. Amedai amepata machungu mengi sana juu ya mtoto wake huyo! Alifunguka
kuwa amelala hoteli usiku na mtoto huyo bila mtu yoyote kujali japo kwa kuuliza chochote. 


0 comments:

Post a Comment