Nay wa Mitego amepiga biti zito kwa yeyote atakaye taka kumchukua mwanaye.Amedai amepata machungu mengi sana juu ya mtoto wake,Amelala hoteli usiku na mtoto huyo bila mtu yoyote kujali.Kikubwa zaidi alichanganyikiwa kuambiwa mtoto si wake alikuwa hajuhi huduma hiyo inapatikana wapi ila matatizo hayo yalimfanya apajue.Biti hilo halijalishi kwa mama mtoto au mtu yeyote kwani tangu aanze kumlea mtoto hakuna aliyemtafuta kujua mtoto anaishije.
Saturday, July 4, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment