Samahani
sana mashabiki na @shilolekiuno kwa kuvujisha huu wimbo bila idhini
yake tuliorekodi mda mimi na yeye na ndio sababu kubwa yeye kukasirika
mpaka malumbano yooote yaliyotokea'twende sawa na tupendane jamani bila makwaruzano'mana tuna sababu bilioni za
kujiamini na kupendana pia natangaza rasmi wimbo mpya kabisa wa Nuh Mziwanda na Shishi wimbo mpya kabisa #GandaLaNdizi unaweza usikiliza kwa kubonyeza link hapo kwenye Bio yangu ya Blue'nawapenda sana
BOFYA HAPA KUONA VIDEO MZIWANDA AKIOMBA MSAMAHA
0 comments:
Post a Comment