Tuesday, July 21, 2015

Screen Shot 2015-07-20 at 5.11.45 PM
Tanzania tumekuwa na bahati pia mwaka 2015 kwenye uwakilishi wa mastaa kwenye Tuzo za Kimataifa, kuwa na wawakilishi wawili katika Tuzo kubwa kama MTV MAMA sio kitu kidogo, Africa ina jumla ya nchi kama 54 hivi na nchi ambazo zilikuwa na wasanii wanaowakilisha kwenye Tuzo hizo hazijazidi hata 15, Tanzania nayo imo tena kwa wawakilishi wawili, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee.
Screen Shot 2015-07-20 at 5.11.54 PM
Screen Shot 2015-07-20 at 5.12.02 PM

Screen Shot 2015-07-20 at 5.12.09 PM
Ni

Screen Shot 2015-07-20 at 5.11.39 PM


Screen Shot 2015-07-20 at 5.11.18 PM
Jana alishuka Diamond Uwanja wa Ndege Dar es Salaam na leo ni zamu ya Vanessa Mdee Vee Money‘… tayari katua Dar na ripota wa millardayo.com kamnasa palepale, Exclusive story utazipata zote kwenye #Amplifaya @CloudsFM, Channel ya #AyoTVYoutube (@millardayo) na pia hapahapa on millardayo.com
Screen Shot 2015-07-20 at 5.11.24 PM

0 comments:

Post a Comment