Posted by Williammalecela.com on Wednesday, July 08, 2015
Nape Nnauye katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi akiwa amesimama pozi la kibosi akikagua kazi ya maandalizi ukumbi wa mkutano kikao cha kamati kuu.Kila mtangaza nia kwa sasa tumbo joto wakisubiri hukumu ya kukatwa majina 39 nakubaki moja.
0 comments:
Post a Comment