Monday, July 20, 2015

Master J mtayarishaji wa muziki nchini amesema alioa mapema na ndoa yake kuvunjika sababu alilazimishwa na wazazi wake.Hivi sasa yupo kwenye mapenzi na msanii Shaa chaguo la moyo wake.Anawatoto wa tatu kwa mke wake wa ndoa wote wa kike,upande wa muziki hatayarishi tena biashara hiyo haimlipi.

0 comments:

Post a Comment