Tuesday, July 21, 2015

Rais wa Burundi Piere Nkurunzinza leo amewasili kituo cha kupigia kura kijijini kwao akiwa na baiskeli na wapambe wake.Ikiwa ni mara ya tatu akishiriki kugombea urais wapinzani wamesusia uchaguzi huo.


0 comments:

Post a Comment