Rais wa Kenya Uhuru Kenyata amejishindia tunzo ya rais bora wa mwaka 2015 barani Africa.Tunzo hiyo inayo tolewa na All African Students ametunukiwa kama kiongozi anayemudu majukumu mazito ya uwongozi bila kuteteleka.Pongezi kwa rais ya taifa hilo jirani la wakenya.
0 comments:
Post a Comment