Rais Kikwete leo kwenye shughuli ya mkutano mkuu alitupia jezi mpya kama nguo rasmi ya CCM kipindi hichi cha kuanza kampeni mapema mwezi wa nane.Jezi hiyo form six yenye mistari ya kijani,nyeusi na njano chama cha Mapinduzi katika mwonekano mpya.Ukawa bado haija fahamika kama watatupia gwanda au vinginevyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment