Thursday, July 16, 2015


Mgombea urais kwa tiketi ya CCM John Pombe Magufuli leo alikuwa nchini Zanzibar kutambulishwa rasmi kwa wananchi.Ameongozana na makamu wake Samia Suluhu kutoka upande wa visiwani.


0 comments:

Post a Comment