Wednesday, July 15, 2015


Mastaa wawili wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na Wema Sepetu. 
URAFIKI wa mashaka! Mastaa wawili wa filamu Bongo, ambao walikuwa mashosti kwa muda mrefu kabla ya kidudumtu kuingilia kati hivi karibuni na kusuluhishwa, hivi sasa bifu kati yao limeanza upya, Risasi Mchanganyiko linakujuza.
 

Wema Sepetu. 

0 comments:

Post a Comment