Aliyewahi kuwa swahiba wa mbunge mtarajiwa Wema Sepetu, Snura Mushi ametoa kauli zenye mlengo wa kumpiga vijembe Wema.
“ Naepukana na unafiki tena naweza kusema ni roho mbaya chuki kwa baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayoyanatumia muda mwingi kuwadis wengine, mfano hivi sasa wakata Diamond anawania tuzo za kimataifa eti kuna watu wanaungana na watu wan je kufanya kampeni ashindwe,” alisema Snura.
0 comments:
Post a Comment