Aliyewahi kuwa swahiba wa mbunge mtarajiwa Wema Sepetu, Snura Mushi ametoa kauli zenye mlengo wa kumpiga vijembe Wema.
“
Naepukana na unafiki tena naweza kusema ni roho mbaya chuki kwa
baadhi ya wasanii kuunda makundi ambayo yanatumia muda mwingi kuwadis
wengine, mfano hivi sasa wakata Diamond anawania tuzo za kimataifa eti
kuna watu wanaungana na watu wan je kufanya kampeni ashindwe,” alisema
Snura.
Snura anadai kuwa siku hizi makundi ambayo yanaundwa na
wasanii au wapenzi wenyewe ambayo yanatumika vibaya katika kutengeneza
ugomvi au kushabikia wasanii wakigombana kwa kutumia mitandao ya kijamii
kuwatusi na kuwakatisha tamaa hata kama wanafanya kazi zinazotangaza
Taifa.
Wema Sepetu ni miongozni mwawasanii ambao wanadaiwa
kuhamasisha kundi lake “team Wema” kumpigia chepuo msanii wa Nigeria
Davido ambaye anachuana na Diamond wa hapa nyumbani katika tuzo za MTV
Africa MAMA
0 comments:
Post a Comment