Diamond Platnumz alikuwa live kwenye XXL @CloudsFM, kuna vingi kaviongea Exclusive, nilipata nafasi kumsikiliza na hivi ni baadhi ya vitu alivyoviongelea leo June 6 2015.
Unadhani Diamond anaamini uchawi >>> “Japokuwa vitabu vya dini vinasema ‘ndele’ zipo lakini haupaswi kuamini…
Kuamini ni sawa na kumkiuka Mwenyezi MUNGU”>>>Kuna beef kati yake na Ali Kiba? Na vipi zile Team kwenye Mitandao ya Kijamii >>> “Sijawahi kuwa na beef nae hata siku moja… Sioni kama kuna ubaya wowote, kila mtu ana maamuzi kumchagua mtu anayemtaka yeye kumshabikia, huwezi kumlazimisha mtu” >>>

0 comments:
Post a Comment