
Msanii
supastaa wa bongofleva Naseeb Abduli “Diamond Platnumz” amefunguka
jambo muhimu sana kuhusu nyota mwingine wa bongofleva ‘long time’ AY.
Diamond
kupitia ukurasa wake wa facebook amebainisha kuwa AY ndiye
aliyemfungulia njia ya kung’ara kimataifa. Diamond alikuwa akiyasema
hayo wakati akimtakia AY heri ya siku ya kuzaliwa.
0 comments:
Post a Comment