Posted by Williammalecela.com on Sunday, July 19, 2015
Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz amekutana na camera ya AyoTV hapa Durban South Africa wakati tukisubiria tuzo za MTV 2015
kaongelea Beef yake na Davido ilivyokua na mpaka wakakutana, mtoto wake wiki ijayo, tuzo za MTV na mengine
0 comments:
Post a Comment